GEZAULOLE KIGAMBONI

Mradi wa Makazi wa Gezaulole Kigamboni unajumuisha jumla ya nyumba 329 na ulizinduliwa rasmi mwaka 2015. Ni moja ya miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba nchini, ambao unajumuisha nyumba za ghorofa, nyumba za chini pamoja na Kituo cha Maduka. Kwa sasa nyumba za Ghorofa zimepangishwa kwa watumishi wa umma na wananchi wanaochangia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii; wakati 98% ya nyumba zote za chini tayari zimeuzwa.

Bei za kununua – Nyumba za chini Gezaulole

Na.

Aina ya nyumba

Idadi ya vyumba vya kulala

Meta za mraba

Bei

(Bila VAT)

Bei

(ikiwa na VAT)

1

Aina A

3

115

89,830,508.00

106,000,000.00

2

Aina B

3

85

65,254,237.00

77,000,000.00

3

Aina C

3

85

57,627,118.00

68,000,000.00

 

Bei za Kupangisha – Nyumba za Ghorofa Gezaulole

Na.

Aina ya nyumba

Idadi ya vyumba vya kulala

Meta za mraba

Bei kwa mwezi

1

Aina A

3

115

350,000.00

2

Aina B

3

85

300,000.00

3

Aina C

2

60

250,000.00

4

Aina D

1-2 (Studio)

36

200,000.00