BODI YA WAKURUGENZI

Watumishi Housing Investments (WHI) inasimamiwa na kuongozwa na Bodi ya Wakurugenzi ambayo inajumuisha Wakurugenzi Wakuu kutoka Mifuko yote ya Hifadhi ya Jamii ambayo ni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Kampuni ya Tanzania Mortgage Refinance (TMRC).

Serikali inawakilishwa kwenye Bodi na Mjumbe kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (PO-
PSMGG).

ABDUL-RAZAQ BADRU

MWENYEKITI
MKURUGENZI MKUU
mFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WATUMISHI WA UMMA (PSSSF)

hamad abdallah

MKURUGENZI
MKURUGENZI MKUU
SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)

Shabani Mande

MKURUGENZI
MKURUGENZI WA UENDESHAJI
KAMPUNI YA Tanzania Mortgage Refinance (TMRC)

Masha Mshomba

MKURUGENZI
MKURUGENZI MKUU
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII (NSSF)

Bernard Konga

MKURUGENZI
MKURUGENZI MKUU
MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (Nhif)

Dr. Fred Msemwa

MKURUGENZI
MKURUGENZI MTENDAJI
SHIRIKA LA UWEKEZAJI WATUMISHI HOUSING (WHI)