MRADI WA nyumba Bunju B

Mradi wa Nyumba Bunju B unahusisha ujenzi wa nyumba 65 za kawaida zenye ukubwa tofauti kuanzia vyumba 2 hadi vyumba vitatu vya kulala, viwanja vya kuchezea watoto na sehemu nyinginezo. Mradi huu umekamilika kwa 100% na tayari nyumba zake zimepangishwa.

Bei za Nyumba – Bunju B

Na.

Aina ya Nyumba

Idadi ya Vyumba vya Kulala

Meta za Mraba

Bei

(bila VAT)

Bei

(ikiwa na VAT)

1

Vyumba Vitatu

3

115

79,046,610.00

93,275,000.00

2

Vyumba Vitatu

3

85

67,754,237.00

79,950,000.00

3

Vyumba Viwili

2

60

59,067,796.00

69,700,000.00