mradi wa Kisesa Mwanza

Mradi wa Makazi wa Kisesa Mwanza uliopo barabara inayoelekea Magu ni mradi unaojumuisha nyumba za chini 59 ambapo ujenzi umekamilika na nyumba zote zimepangishwa.

Bei ya kununua Nyumba

Na.

Aina ya nyumba

Idadi ya vyumba vya kulala

Meta za Mraba

Bei

(bila VAT)

Bei

(ikiwa na VAT)

1

Three Bedroom

3

115

69,491,525.00

82,000,000.00

2

Three Bedroom

3

85

62,711,864.00

74,000,000.00

3

Two Bedroom

2

61

47,457,627.00

56,000,000.00

 

Bei za kupangisha Nyumba

Na.

Aina ya Nyumba

Idadi ya vyumba vya kulala

Meta za Mraba

Bei ya kupangisha

1

Three Bedroom

3

115

250,000.00

2

Three Bedroom

3

85

200,000.00

3

Two Bedroom

2

60

150,000.00