Jinsi ya kujiunga

Kila Mtanzania anayeishi nje ya nchi ambaye anataka kuwekeza katika Mfuko wa Faida anaweza kujiunga kupitia njia zifuatazo:

1. Kwa njia ya mtandao kama ifuatavyo:

    (a) Tovuti ya WHI kwa kubonyeza hapa

    (b) kupakua App ya simu ya WekezaWHI kupitia simu janja.

2. Kwa kupakua na kujaza fomu kutoka kwenye tovuti ya WHI kwa kubonyeza hapa, kisha tuma nakala iliyowekwa sahihi kupitia anuani ya barua pepe wekeza@whi.go.tz

Kwa swali lolote tafadhali tuma barua pepe kwenda wekeza@whi.go.tz