mradi wa nyumba Mkundi Morogoro

Mradi wa nyumba wa Mkundi upo km 8 kutoka Kituo cha Mabasi cha Msamvu Morogoro mjini. Mradi huu unajumuisha nyumba 50 za makazi. Mradi umeshakamilika na tayari nyumba zimepangishwa kwa njia ya Mpangaji Mnunuzi.

Bei za kununua nyumba  

Na.

Aina ya nyumba

Idadi ya vyumba vya kulala

Meta za Mraba

Bei

(bila VAT)

Bei

(ikiwa na VAT)

1

Vyumba vitatu

3

121

66,525,423.73

78,500,000.00

2

Vyumba vitatu6

3

115

63,389,830.51

74,800,000.00

3

Vyumba Vitatu

3

96

51,440,677.97

60,700,000.00

4

Vyumba Vitatu

3

85

54,511,864.40

64,324,000.00

5

Vyumba Viwili

2

61

37,966,101.70

44,800,000.00

6

Vyumba Viwili

2

60

33,728,813.55

39,800,000.00

 

Bei za Kupangisha nyumba

Na.

Aina ya Nyumba

Idadi ya Vyumba vya Kulala

Meta za Mraba

Bei ya Kupangisha


1

Vyumba Vitatu

3

115

300,000.00

2

Vyumba Vitatu

3

85

250,000.00

3

Vyumba Viwili

2

60

200,000.00